UNHUMAN.2022 FULL MOVIE|DJ MACK
Maelezo ya Movie: Baada ya basi lao la shule kupata ajali, kundi la wanafunzi wa shule ya sekondari linajikuta katika mapambano ya kutisha ya kuokoa maisha yao, huku wakijaribu kuwashinda kundi la viumbe katili wasio na utu… kabla hawajauana wao kwa wao.
Tazama UNHUMAN Trailer (Official Trailer)